MTWARA, LINDI ZAINGIZWA KWENYE GRIDI YA TAIFA



MTWARA, LINDI ZAINGIZWA KWENYE GRIDI YA TAIFA 

#KAZIINAONGEA

Serikali inatekeleza mradi wa umeme Gridi ya Taifa  kwa kuiunganisha mikoa ya Mtwara na Lindi kutokea Songea kwa kupitia njia ya Tunduru, Masasi -Mahumbika.

Hii ni  kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Wizara ya Nishati Bungeni Jijini Dodoma Novemba 4, 2024.

Aidha Wizara ya Nishati inatekeleza agizo la Rais Dkt Samia  Suluhu Hassan la kutaka kuwalipa fidia wananchi wote waliopisha mradi wa kuunganisha umeme kwenye Gridi ya Taifa kwenda mikoa ya Mtwara na Lindi.

#KAZIINAONGEA

Comments

Popular posts from this blog

RAIS SAMIA AWAONGOZA WATANZANIA KUMUAGA DKT. NDUGULILE

ELIMU BILA MALIPO MSAADA KWA WATANZANIA WENGI